ShukraniWashiriki katika Kulisha Akili, Katika Kupambana na Njaa wanapenda kushukuru kwa michango iliyotolewa na watu binafsi ambao walitoa usaidizi wao kwa mradi huu. Kwa maendeleo ya mradi na yaliyomo, Valeria Menza, FAO. Kwa kuusimamia mradi, twapongeza Patricia Young, Kamati ya kimarekani ya Kitaifa ya Siku ya Chakula Duniani. Kwa utayarishaji na uandaaji wa miongozo ya masomo pongezi ni kwa Claudia Probart, mtaalamu aliyetembelea FAO. Shukrani zinatolewa kwa Christine Terry, Stephanie Kempf, Jane Levine na Lary Levine kwa ajili ya michango yao kwa miongozo ya masomo. Pia shukrani za dhati ni kwa kituo cha Habari za Kilimo (WAICENT)/FAO kwa kufanya ukurasa wa mtandao, kwa Chiara Caproni kwa michoro ya shule za msingi, kwa Davies Zulu, msanii wa Zambia kwa michoro, na kwa Todd Metroken wa Supon Design, Inc, kwa mambo ya Kulisha Akili, Kupambana na Njaa na michoro ya jalada. Kazi ya wanachama wa kamati ndogo inapongezwa. Hawa ni: Anne Baker, National Peace Corps Association, Everlyne Banda, IFPRI; Lynn Brown, Benki ya Dunia ; William D. Clay, FAO; Valeria Menza, FAO; Connie Cordiovilla, AFT; AnnaMaria Hoffman-Barthes, UNESCO, Susan Linyear, National Peace Corps Assocation; Frank Method, UNESCO, Dave Milburn, Newweek Education Program; Deborah Parker, ambaye awali alikuwa Newsweek Education Program; Mandy Tumulty, Peace Corps, na Claus vonGrebmer, IFPRI. |
Njaa na Ukosefu wa Lishe Bora DunianiUtangulizi wa MwalimuSiku ya Chakula DunianiWashiriki katikaKudhaminiWasiliana nasiPata faili la mtindo wa PDF |