Washiriki katika Kulisha Akili, Kupambana na Njaa

Mradi wa Kulisha Akili, Kupambana na Njaa ulianzishwa na kundi la vyama vya kimataifa visivyo vya kiserikali ambavyo vimeungana pamoja ili kusaidia kumaliza njaa na ukosefu wa lishe bora kupitia elimu. Washiriki wanaamini katika kuja pamoja katika ushirikiano wa nguvu na ujuzi na dunia isiyo na njaa inaweza kupatikana kwa haraka na kwa mafanikio badala ya kila shirika kufanya kazi pekee yake.

Shirikisho la Waalimu wa Kimarekani

Shirikisho la Kimarekani la Waalimu ni Chama Cha wafanyikazi kinachowakilisha zaidi ya wanachama Milioni moja katika nyanja za elimu K-12 (Waalimu na walio kama wataalam) Serikali za nchi, elimu ya juu na vyama vya wauguzi na taaluma za utabibu. Shirikisho la AFR lilianzishwa mnano mwaka wa 1916 na linajulikana kwa maadili ya kidemokrasi na kazi nzuri kwa niaba ya wanachama wake, na athari kubwa kwa viwango na mienendo ya kitaalamu katika mahali pa kazi wanachama.

555 New Jersey Avenue, NW, Washington, DC 20001-2079 (USA)
Mshirikishaji:
Barbara Van Blake
Simu: +1-202- 879-4490
Kipepesi(faksi): 1-202- 393- 8648
Ukurasa wa mtandao: www.aft.org

Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO)

FAO ilianzishwa mnamo mwaka wa 1945 na lengo la kuinua viwango vya lishe bora na maisha, kuongeza uzalishaji wa kilimo na kuboresha hali ya maisha ya wakazi wa mashambani. FAO ina wafanyikazi kote duniani na ina wananchi wanachama 180. Jumuiya ya Ulaya na FAO hulenga kupunguza ufukara na njaa kwa kuendeleza maendeleo ya kilimo, lishe bora na kutafuta kuwepo chakula cha kutosha – chakula kipatikane kwa watu wote wanapokihitaji kwa maisha bora.

Viale delle Terme di Caracalla, 00100 Rome (Italie)
Mtu wa kuwasiliana naye: Valeria Menza, Kitengo cha Chakula na lishe bora
Simu: (+39) 06 5705 4292
Kipepesi(faksi) : (+39) 06 5705 4593
Ukurasa wa mtandao: www.fao.org

Mavuno ya wakati ujao

Mavuno ya wakati ujao hulenga kujenga dunia yenye kiasi cha chini cha umaskini, familia ya binadamu yenye afya bora watoto wenye afya nzuri na mazingira bora kwa kuongeza kiwango cha uelewa na kuunga mkono juhudi za utafiti wa kisayansi. Husaidia kuleta matokeo ya utafiti kwa jamii za mashambani katika nchi zinazoendelea na pia kufanya juhudi kusomesha watoto na watu wazima kuhusu umuhimu wa kilisha dunia na kulinda ulimwengu.

PMB 238 2020 Pennsylvania Ave NW Washington, DC, 20006-1846, USA
Simu: (+1) 202 473 3553
Ukurasa wa mtandao: www.futureharvest.org

Chuo cha Kimataifa cha Sera ya Chakula (IFPRI)

Azimio la IFPRI ni kutambua na kutathmini mikakati ya kitaifa na kimataifa na sera za kutosheleza mahitaji ya chakula ya nchi zinazoendelea kwa kiwango kinachoweza kudumishwa, huku wakizingatia zaidi nchi zenye chumi ndogo, watu maskini na usimamizi bora wa mali za asili ambazo ndizo mhimili wa kilimo.

2033 K Street, NW, Washington, DC 20006-1002 (USA)
Simu: +1-202- 862 5600
Ukurasa wa mtandao: www.ifpri.org
Orodha: www.ifpri.cgiar.org/new/newatifpri.htm

Elimu ya Kimataifa na Ungamo (iEARN)

I*EARN ni ungamo la kimataifa la elimu la mawasiliano linalohusisha shule na vikundi vya vijana katika zaidi ya nchi 90 ili kuwezesha wanafunzi kuelewa teknolojia za Mtandao kwa miradi ya pamoja ya masomo kwa kushughulikia masuala ya kitaifa na kimataifa.

I*EARN-USA
475 Riverside Drive, #540, New York, N.Y. 10015 (USA)
Simu. +1-212-870 2693
Kipepesi(faksi) : +1-212-870 2672
Ukurasa wa mtandao: www.iearn.org

Shirika la Kujitolea la Kitaifa (NPCA)

NPCA ni shirika lisilo la kifaida la watu wa kujitolea, wafanyikazi wa awali na rafiki wa Shirika la Kijitolea miradi na programu za NPCA zinalenga “kuiregesha dunia nyumbani” kupitia shughuli za elimu ya dunia, kujenga amani, huduma na utetezi wa kimataifa.

1900 L Street NW, Suite 205, Washington DC 20036 (USA)
Simu: +1-202-293. 7728
Kipepesi(faksi) : +1-202-293 7554
Ukurasa wa mtandao: www.rpcv.org

Mradi wa Elimu wa Newsweek (NEP)

Azimio la Nep ni kuendeleza kushiriki kwa wanafunzi katika masuala ya siku hizi. Mradi huu unalenga kuboresha ujuzi wa wanafunzi wa uchambuzi wa sera ya umma na kuongeza kushiriki kwao katika mambo na shughuli za kitaifa. NEP hutoa seti za magazeti ya Newsweek kwa shule za upili na madarasa ya vyuo katika lugha ya Kiingereza, Kijamii, Uchumi na ESL. Bei nafuu za wanafunzi pekee huzingatiwa kwa dazani ya makala kama vile ramani, maswali miongozo ya waalimu, vijitabu vya rejea na makala ya kujenga ujuzi.

SLP 919 Mountain Lakes, NJ 07046,USA
Simu/Kipepesi - Ndani ya Marekani: 800 526 2595
Simu/Kipepesi - Nje ya Marekani: (+1) 212 445 5032
Ukurasa wa mtandao: www.school.newsweek.com

Chama Cha Umoja wa Mataifa Cha Elimu, Sayansi, na Utamaduni (UNESCO)

UNESCO huendeleza umoja na ushirikiano kati ya mataifa kupitia elimu ya sayansi, utamaduni na mawasiliano ili kuheshimu zaidi haki, utawala unaozingatia sheria na haki za binadamu na uhuru halisi unaosisitizwa na Mwafaka wa Umoja wa Mataifa. UNESCO hufanya kazi na waalimu katika viwango vyote na Vyama vingine ili kujumlisha elimu ya kisayansi na kitamaduni na kusaidia wanafunzi kuelewa mazingira yao, chaguzi zao za kijamii na kibinafsi ili kuwezesha kuwepo maendeleo.

7, Place de Fontenoy- Paris 07 SP, France, 75352 (France)
Mshirikishaji:Anna-Maria Hoffmann-Barthes
Kipepesi : +33-1-4568 5622
Ukurasa wa mtandao: www.unesco.org

Kamati ya Kitaifa ya Kimarekani ya Siku ya Chakula Duniani

Siku ya Chakula Duniani ni shughuli ya kila mwaka duniani ambayo nia yake ni kuongeza uelewa, mwaka mzima, wa muda mrefu wa masuala tata ya kuhakikisha kuwepo kwa chakula kwa kila mtu. Kamati ya Kitaifa ya Kimarekani ni muungano wa vyama vya kibinafsi 450 vya kitaifa visivyo vya kifaida vilivyo nchini Marekani.

2175 K Street NW, Washington, DC 20437, (USA)
Mshirikishaji:Patricia Young, Mshirikishi wa Kitaifa
Simu: +1-202-653 2404
Kipepesi: +1-202-653 5760
Ukurasa wa mtandao: www.worldfooddayusa.org

Benki ya Dunia

Benki ya Dunia ndilo shirika kubwa duniani lenye kusaidia katika maendeleo na hutoa wastani wa dola bilioni 20 zikiwa kama mikopo ya kila mwaka kwa nchi zinazokopeshwa. Benki hii inatumia raslimali zake za kiuchumi, wafanyaikazi wake wenye ujuzi wa hali ya juu na elimu yake kubwa kusaidia kila nchi katika usitawi unaoweza kudumishwa kuhakikisha kuwa kuna ugawaji sawa. Dhima yao kubwa ni kusaidia watu na nchi maskini zaidi. Katika mandeleo ya mashambani kuna mambo yafuatayo! 1. Kuongeza uzalishaji wa kilimo, kutoa kazi na kuwepo kwa chakula cha kutosha mashambani.
2. Kujenga miundomsingi kama barabara, mabwawa ya maji, shule na hospitali, na kutoa huduma za kijamii kwa watu wa mashambani; na
3. Kusaidia kuendeleza maendeleo ya mashambani yanayoambatana na mazingira na eneo fulani.

1818 H Street NW, Washington DC 20433 (USA)
Mtu wa kuwasiliana naye:Lynn R.Brown, MC 5110
Simu: 1-202-458 8178
Kipepesi: 1-202-522 3307
Ukurasa wa mtandao: www.worldbank.org

Washiriki


Global Nomads Group

Jina kamili:

Christopher Plutte

Kichwa cha habari:

Director of Operations

Anwani kamili:

29 East 7th Street #5E
New York NY 10003

Simu:

+1- 917-821-2456

Anwani ya mtandao:

kamal@gng.org

Ukurasa wa mtandao:

http://www.gng.org/


Arab Nutrition Society

Jina kamili:

Dr. Abdulrahman O. Musaiger

Kichwa cha habari:

Director, Environmental & Nutrition Programme

Anwani kamili:

Bahrain Centre for Studies and Research
P.O. Box 496-Manama, Bahrain

Simu:

+973-754948

Kipepesi(faksi):

+973-715289/754822

Anwani ya mtandao:

Amusaiger@best.gov.bh


Asia-Pacific Network For Food and Nutrition

Jina kamili:

c/o Dr. Biplab Nandi

Kichwa cha habari:

FAO Regional Nutrition Officer

Anwani kamili:

FAO Regional Office for Asia and the Pacific
39 Phra Atit Road, Bangkok 10200, Thailand

Simu:

+66-2-647-4143

Anwani ya mtandao:

Biplab.Nandi@fao.org


Secretariat of the Pacific Community

Jina kamili:

Jimaima Schultz or Wendy Snowdon

Kichwa cha habari:

Lifestyle Health Section

Anwani kamili:

SPC, BP D5, Noumea Cedex 98848,
New Caledonia

Simu:

+687-262000

Kipepesi(faksi) :

+687-263818

Ukurasa wa mtandao:

http://www.spc.org.nc/


Federación Latinoamericana de Asociaciones Académicos de Nutrición y Dietética

Jina kamili:

Sra. Delfina López

Kichwa cha habari:

Presidenta de la Federación Latinoamericana
de Asociaciones Académicas de Nutrición
y Dietética (FLASANYD)

Anwani kamili:

Independencia 1027, Santiago, Chile

Simu:

+56-2-6786285/6786085

Kipepesi(faksi):

+56-2-6786085

Anwani ya mtandao:

esnutri@canela.med.uchile.cl


Colegio de Profesores de Chile

Jina kamili:

Sra. Olimpia Riveros

Kichwa cha habari:

Integrante del Directorio Nacional

Anwani kamili:

Moneda # 2394, Santiago, Chile

Simu:

+56-2-6881400, anexo 246

Anwani ya mtandao:

oriveros@colegiodeprofesores.cl

Ukurasa wa mtandao:

http://www.colegiodeprofesores.cl/


Fundación de Vida Rural de la Pontificia, Universidad Católica de Chile

Jina kamili:

Sra. Ana María Philippi

Kichwa cha habari:

Directora Ejecutiva de la Fundación
de Vida Rural de la Pontificia,
Universidad Católica de Chile

Anwani kamili:

Jaime Eyzaguirre n.9, of. 44, Santiago, Chile

Simu:

+56-2-6354913

Kipepesi(faksi):

+56-2-6354957

Anwani ya mtandao:

aphilippi@fvr.tie.cl

Ukurasa wa mtandao:

http://www.fvrpuc.cl


International Institute of Tropical Agriculture

Jina kamili:

David Mowbray

Kichwa cha habari:

Communications and Information

Anwani kamili:

PMB 5320 Ibadan
Oyo State, Nigeria

Simu:

+234-2-241-2626

Kipepesi(faksi):

+234-2-241-2221

Anwani ya mtandao:

d.mowbray@cgiar.org

Ukurasa wa mtandao:

http://www.iita.org/about/about.htm


Kenya Coalition for Action in Nutrition

Jina kamili:

Prof. Ruth K. Oniang'o

Kichwa cha habari:

Prof. of Food Science and Nutrition

Kampuni:

Jomo Kenyatta University of Agriculture &
Technology (JKUAT), Department of Food
Science and Postharvest Technology

Anwani kamili:

P.O. Box 62000
Nairobi, Kenya

Simu:

+254 (02) 632220/249799
+254 (151) 22646/9

Fax ya shuguli:

+254 (02) 631200/+254 (151) 21764

Anwani ya mtandao:

ONIANGO@FORM-Net.Com


Southern Africa Teachers' Organisation

Jina kamili:

Mr Peter Mabande

Kichwa cha habari:

Chief Executive
Zimbabwe Teachers' Association

Anwani kamili:

P. O. Box 1440, Harare, Zimbabwe

Kipepesi(faksi):

+263 04 791042

Anwani ya mtandao:

zimta@telco.co.zw


Societŕ Italiana di Nutrizione Umana

Jina kamili:

Prof. Nino Carlo Battistini

Kichwa cha habari:

Presidente SINU

Anwani kamili:

Alimentazione e Nutrizione Umana
Facoltŕ di Medicina e Chirurgia
Via Campi, 287
41100 Modena, Italy

Simu:

+39.5920.55350

Kipepesi(faksi):

+39.5920.55483

Anwani ya mtandao:

battisti@unimore.it

Ukurasa wa mtandao:

http://www.sinu.org


European Food Information Council

Jina kamili:

Ms. Annette Jung

Anwani kamili:

EUFIC
19, rue Guimard-1040 Brussels, Belgium

Simu:

+32-2-50689 89

Kipepesi(faksi):

+32-2-506 89 80

Anwani ya mtandao:

ajung@eufic.org

Ukurasa wa mtandao:

http://www.eufic.org


World Association of Girl Guides and Girl Scouts

Jina kamili:

Ms. Charlotte Barran

Kichwa cha habari:

Head of Communications

Anwani kamili:

Olave Centre
12c Lyndhurst Road
London NW3 5PQ, United Kingdom

Simu:

+ 44 (0171) 794-1181

Kipepesi(faksi):

+ 44 (0171) 431-3764

Anwani ya mtandao:

wagggs@wagggsworld.org

Ukurasa wa mtandao:

http://www.wagggsworld.org

SEE HEALTH (South Eastern Europe Health Promotion Network)

Jina kamili:

Ms. Anastasia Baou

Kichwa cha habari:

FMFH Assistant Project Coordinator

Anwani kamili:

124 b Vasilissis Sofias
11525 Athens

Simu:

+30-210-775-7121

Kipepesi(faksi):

+30-210-775-1170

Anwani ya mtandao:

abaou@otenet.gr

Logo

Njaa na Ukosefu wa Lishe Bora Duniani

Utangulizi wa Mwalimu

Siku ya Chakula Duniani

Shukrani

Kudhamini

Wasiliana nasi

Pata faili la mtindo wa PDF