Matendo kwa nchiUnakaribishwa kwenye sehemu ya mwingiliano ya "Kulisha Akili, Kupambana na Njaa" saiti ya mtandao unaotolewa kwa ajili ya matendo kwa waalimu, wanafunzi na pia makundi ya vijana popote duniani. Hapa utapata masomo, hadithi, miradi na matukio mbalimbali kutoka nchi tofauti. Tunakuhimiza utupelekee chochote kile kinachohusu hoja juu ya njaa, utapiamlo na namna ya kuwa na uhakika wa chakula ili uweze kushiriki na wengine nchini na popote pale. Saidia kuunda dunia isiyo na njaa. Bahati na furaha njema! Nchi washiriki |
Contact usRelated LinksDownload pdf |
-->