Tathmini ya makala na vielelezo vya masomo lisha akili, tokomeza njaa.

Asante kwa kuchukua muda wako kutoa maoni na kutathmini juu ya masomo ya lisha akili, tokomeza njaa. Tumependezwa sana kujua ni namna gain haya makala yanavyotumika. Mchango wako ni muhimu katika juhudi zetu za kutengeneza seti za makala zinazohusiana haswa ambazo zitatumiwa na walimu na wanafunzi wengine duniani.
Tutatumia maoni yako kuangalia upya masomo kuhakikisha kuwa yanakidhi mahitaji yako na ya walimu sehemu zingine.

Masomo ya lisha akili, tokomeza njaa yametengezwa kama mwanzo kwa walimu kufahamisha mada ya njaa duniani kwa wanafunzi wao. Kwa kupewa aina mbalimbali za matatizo, tamaduni na mazingira duniani, makala yametayarishwa kama mwongozo kwa walimu, kwa kuelewa kuwa walimu watahitaji kuandaa kulingana na uwezo, lugha, majadiliano na shughuli zilizotolewa yaendane na mahitaji ya wanafunzi na mazingira waliyomo. Tafadhali jibu maswali yetu kwa kiwango cha shule unayofahamu, au kwa kiwango cha shule ambacho unafundisha.

Kama bado hujatumia makala darasani, tafadhali jibu maswali kulingana na mchanganuo wako wa masomo. Ukitupa mifano na ushauri vitasaidia sana jinsi tunavyoendeleza kuboresha haya makala.


1. Je! Unafundisha kiwango gani cha elimu na umri?

2. Tafadhali elezea shule/darasa lako lilivyo:

a. Je! lipo/liko katka eneo gani?

b. Shule au darasa lako lina ukumbwa gani?

c. Je! Shule imejengwa katika jumuiya yenye kiwango gani cha uchumi?

d. Je! Shule yako ipo kijijini, kando kando ya mji au mjini?

e. Je! Lugha ya kwanza unayotumia shuleni au katika jumuiya ni ipi?

f. Je kuna uwezekano wa kutumia computa au mashine ya kuchapisha shuleni kwako?

3. Unafundisha somo gani katika nakala ya Kulisha Akili Kupambana na Njaa?Nini kiwango cha Uchumi katika jumuiya inayomiliki shule yako?

Somo 1: Njaa ni Nini na ni Nani Mwenye Njaa?

Limefundishwa/Limerudiwa

Somo 2: Ni kwa nini Watu wana Njaa na Lishe Mbaya?

Limefundishwa/Limerudiwa

Somo 3: Tunaweza kufanya nini Kumaliza Njaa?

Limefundishwa/Limerudiwa

4. Je, umeshawahi kuwa na wasaa kati yako na wanafunzi katika nyanja nyingine kwa kudadisi lolote lile linalohusu njaa na lishe mbaya? Hapana/Ndiyo

Tafadhali jibu maswali yafuatayo kwa kila somo kuanzia la 5 hadi la 7

5. Umetumia muda gani kutayarisha somo?

6. Umetumia mbinu gani kabla ya kufundisha kila somo?

Somo 1:

Somo 2:

Somo 3:


7. Umetumia muda gani kufundisha kila somo? Je unaonaje muda uliotumia kwa kila somo?

Somo 1:

Somo 2:

Somo 3:

Tafadhali jibu maswali yafuatayo mathalani kwa kila somo au kwa masomo yote.

8. Je! Nini unachoona kama nguvu ya masomo? Tafadhali taja alama maalum unazotumia darasani?

9. Ni eneo/sehemu ipi ya somo unayofikiri inaweza ikafanyiwa marekebisho? Tafadhali taja alama maalum zitokanazo na matumizi ya vifaa darasani, pia toa mapendekezo ya marekebisho.

10. Tafadhali taja na elezea matendo ya nyongeza au vifaa ulivyotumia au ambavyo ungependa kutumia ili kuboresha masomo.

11. Ni sehemu zipi maalum za masomo zilizopendwa zaidi na wanfunzi?

12. Je umekuwa na ugumu na dhana au matendo yeyote kama yalivyotolewa darasani? Tafadhali tueleze ni nini ambacho hakikwenda vizuri katika hali hii na ni kwa nini?

13. Ni nyongeza ipi ya dhana ungependelea iongezwe katika masomo?

14. Kwa ujumla katika mazingira ya darasani, kwa kutumia kipimo cha 1 mpaka 5, na 1 kama kipimo cha chini na 5 kama kipimo cha juu, tafadhali toa uwiano wa masomo katika kila eneo hapo chini. (zungushia duara katika nambari inayoshabihiana)

a. Umuhimu

b. Kueleweka kwa ujumbe

c. Kueleweka kwa lugha

d. Uwiano wa kiutamaduni

e. Uwiano wa umri

f. Urahisi wa kutumia

g. Uzoelefu

h. Mpangilio

i. Michoro na muundo wa herufi.

15. Kwa maoni yako, je masomo haya ni muhimu kwa waalimu na wanafunzi katika maeneo tofauti duniani? Eleza ndiyo ni kwanini au siyo na kwa nini?

16. Je unaona uwezekano wa kushirikisha masomo haya kwenye mafundisho yako?

17. Je yapi mapendekezo yako kwa ajili kuboresha vifaa na masomo ya nakala hii.

18. Je una mapendekezo mengine ungependa kutoa kuhusu nakala ya Kulisha Akili, Kupambana na Njaa kuhusu vifaa na muundo wa masomo.

Kipepesi:  


Fomu la maelezo   Rudia Fomu   Kwa Kuwasiliana Nasi nenda  Pata faili la mtindo wa PDF