Foramu ya Kulisha Akili, Kupambana na NjaaJiunge na Foramu ya maingiliano na mjadala wa Kulisha Akili, Kupambana na Njaa. Katika sehemu hii ya maingiliano, unaweza kutoa mchango wa mawazo, fikra na uzoefu wako ukiwa na wanafunzi pia na waalimu wengine popote duniani. Foramu ya washiriki inaweza kujadili namna masomo ya KAKN yalivyotumiwa na kwa kutambua hali halisi ya njaa na ukosefu wa lishe bora kati ya jamii ya nchi moja hadi nyingine. Waalimu wanaweza kuhifadhi masomo na matendo yaliyojitokeza wakati wa madarasa yao, kwa ajili ya waalimu na wanafunzi wengine. Unaweza kushiriki kwenye foramu hii kupitia mshiriki KAKN, iEARN, kwa kutumia iEARN login, au kwa kujisajili kama wewe ni mwanachama mpya.
Kwa kujiunga na Foramu ya KAKN, bonyeza HAPA. Kwa mafunzo ya namna ya kutumia Foramu, http://www.iearn.org/tutorial. |
Contact usRelated LinksDownload pdf |
-->