Kushirikiana na kupeana habari
Tungependa sana kupokea kutoka kwako masomo, habari na shughuli ambazo wewe na wanafunzi wako mmetumia kwenye mada za njaa, lishe na hali ya chakula duniani. Kama ulitumia vielelezo vya masomo vya FMFH tungependa kujua nini mabadiliko au ongezeko ulilofanya kwenye makala. Pia tungefurahi kupokea habari yoyote au insha zilizoandikwa na wanafunzi wenyewe. Tumia mfumo uliopo chini kuandika masomo yako yanayohusu lisha akili na ondoa njaa. Tuma kwetu na tutaunganisha makusanyo haya ili kushirikiana kwenye mtandao na walimu na wanafunzi wengine duaniani.