Kudhamini Kulisha Akili, Kupambana na Njaa

Kila kazi kuhusu Kulisha Akili, Kupambana na Njaa imefanywa na washiriki wa miradi. Ili kufika katika madarasa yote kote duniani, usaidizi zaidi unahitajika kwa sababu ya tafsiri, usanifu, vifaa vya darasani, kuchapa na kusambaza. Zaidi ya hayo utoaji wa vifaa kwa matumizi ya baadaye katika Siku za Chakula Duniani kutahitaji msaada zaidi. Ikiwa ungependa kudhamini au kuchangia kwa njia moja fulani katika kutayarisha vifaa hivi na kuvifanya vipatikane kwa kiasi kikubwa, tafadhali wasiliana na mmoja katika washiriki katika Kulisha Akili, Kupambana na Njaa.

Logo

Njaa na Ukosefu wa Lishe Bora Duniani

Utangulizi wa Mwalimu

Siku ya Chakula Duniani

Washiriki katika

Shukrani

Wasiliana nasi

Pata faili la mtindo wa PDF