Lengo 3: Kujua ni nani mwenye njaa ulimwenguni

Vifaa

Picha: Ramani ya Njaa Duniani


Dhana :
- Njaa ni kutopata kiasi cha kutosha cha vyakula mwafaka kukidhi mahitaji yetu
- Nchi zote na maeneo yote yana baadhi ya watu wenye njaa

Yaliyomo
Matendo

Muhtasari

Somo 1 lilitoa vifaa vya kujibu maswali Njaa ni Nini na Wenye Njaa ni Nani? Baada ya kukamilisha Somo 1 watoto wanahitaji kuweza kueleza kuwa:

Waeleze wanafunzi kwamba katika somo letu linalofuata tutajifunza kujifunza chakula kinapotoka na baadhi ya sababu za kwa nini watu wana njaa katika dunia yetu.

Kwa kujiunga na Foramu ya KAKN, bonyeza HAPA.