KIWANGO CHA MSINGI

Somo 1: Njaa ni Nini na Wenye Njaa ni Nani?

Jumla ya muda wa somo: dakika 45

Lengo 1: Kuelewa kwa nini tunahitaji chakula

Dhana:

Lengo 2: Kujua kuwa tunahitaji aina nyingi tofauti ya vyakula

Dhana:

Lengo 3: Kujua ni nani mwenye njaa ulimwenguni

Dhana:


Somo 2: Kwa nini Watu wana Njaa?

Jumla ya muda wa somo: dakika 45

Lengo 1: Kuelewa mfumo wa chakula unaowalisha watu

Dhana:

Lengo 2: Kuelewa maana ya kuwa na uhakika wa chakula

Dhana:


Somo 3: Tunaweza Kufanya Nini ili Kusaidia Kumaliza Njaa

Jumla ya muda wa somo: dakika 45

Lengo 1:Kujua kuwa sote tunaweza na lazima tufanye jambo fulani ili kupambana na njaa

Dhana:

Lengo 2: Kutambua jinsi ambavyo tunaweza kupambana na njaa katika jamii zetu

Dhana:



3.5MB