KIWANGO CHA KATI

Somo 1: Njaa na Ukosefu wa Lishe Bora ni nini? Na ni Nani aliye na Njaa?

Jumla ya muda wa somo: Dakika 45-60

Lengo 1: Kuelewa matokeo ya njaa na ukosefu wa lishe bora

Dhana:

Lengo 2: Kujua kuwa tunahitaji aina tofauti za vyakula

Dhana:

Lengo 3: Kujua ni nani aliye na njaa na aliyekosa lishe bora duniani

Dhana:


Somo 2:Kwa nini Watu wana Njaa na Ukosefu wa Lishe Bora?

Jumla ya muda wa somo: Dakika 45

Lengo 1: Kuelewa mfumo wa chakula unaolisha watus

Dhana:

Lengo 2: Kuelewa maana ya kujitosheleza kwa chakulas

Dhana:


Somo 3: Tunaweza Kufanya Nini Kusaidia Kumaliza Njaa?

Jumla ya muda wa somo: Dakika 45.

Lengo 1: Kujua sote tunaweza na lazima tufanye jambo katika kupambana na njaa

Dhana:

Lengo 2: Kutambua jinsi tunaweza kupambana na njaa na ukosefu wa lishe bora katika jamii zetu na duniani

Dhana:



2.2MB