KIWANGO CHA UPILI

Somo 1: Njaa na Ukosefu wa Lishe Bora ni nini? Na ni nani Aliye na Njaa?

Jumla ya muda wa somo: Dakika 45-60

Lengo 1: Kuelewa matokeo ya njaa na ukosefu wa lishe bora

Dhana:

Lengo 2:Kujua kiwango cha njaa ulimwenguni

Dhana:

Lengo 3:Kujua ni nani ana njaa na ukosefu wa lishe bora ulimwenguni

Dhana:


Somo 2: Kwa nini Watu wana Njaa na Ukosefu wa Lishe Bora?

Jumla ya muda wa somo: Dakika 45

Lengo 1: Kuelewa mfumo wa chakula unaolisha watu

Dhana:

Lengo 2:Kuelewa maana ya kujitosheleza kwa chakula

Dhana:


Somo 3:Tunaweza Kufanya nini Kusaidia Kumaliza Njaa?

Jumla ya muda wa somo: Dakika 45

Lengo 1:Kutambua wajibu na uwezo wa watu binafsi ili kuchukua hatua za kupambana na njaa na ukosefu wa lishe bora na kuhakikisha uhakika wa chakula

Dhana:

Lengo 2: Kutambua hatua mahususi tunazoweza kuchukua ili kusaidia kuimaliza njaa

Dhana:




1.1MB