Lengo 3: Kujua ni nani ana njaa na ukosefu wa lishe bora ulimwenguni

Vifaa

Karatasi ya Ukweli: Nani Aliye Hatarini?


Dhana :Njaa na ukosefu wa lishe bora vipo katika kila nchi kwa namna fulani

Yaliyomo
Matendo

Muhtasari

Somo 1 linawatunguliza wanafunzi katika umuhimu wa chakula kwa ukuaji na kufanya kazi katika mwili, ili kutoa muktadha wa kuijadili njaa. Upitiaji jumla wa dhana za kimsingi za lishe zilielezwa pamoja na mahusiano yao na njaa na ukosefu wa lishe bora. Upeo na mtazamo wa ulimwengu wa njaa umeelezwa, pamoja na maelezo ya jumla ya makundi yanayotishiwa na njaa ulimwenguni. Baada ya kukamilisha Somo 1, wanafunzi wanatakiwa kuorodhesha:

Kwa kujiunga na Foramu ya KAKN, bonyeza HAPA.