Nani aliye hatarini?
Wahathiriwa wa Migogoro
- Watu waliotoroshwa makwao katika nchi
- Wakimbizi
- Warejeao wasiokuwa na ardhi
- Walemazwa wa mabomu ya kutega ardhini
- Walemazwa wa kivita
- Wajane na mayatima wa vita
Wafanyakazi wahamaji na familia zao
- Wachungaji wahamaji wanaochunga mifugo ya watu wengine
- Wafanyakazi wahamji wanotafuta vibarua
- Jamii ya kike iliyoachwa nyuma na mfanyakazi mhamiaji wa kiume
Watu wa hali ya chini mjini
- Walioacha shule
- Watu wasio na ajira
- Madereva wa teksi na wapanda pikipiki
- Wahamiaji
- Wanaoishi kandokando ya mji
- Wafanyakazi wa bandari, makuli na wafanyakazi wajenzi
- Wafanyakazi wa sekta ya kibinafsi
- Wasio na makwao
- Mayatima
- Watoto wa mitaani na watu waishio peke yao kwa kutegemea mishahara iliyoamriwa au bila msaada (wazee, wastaafu, wajane, watalikiwa, wasio na uwezo, watu waliolemaa)
- Waombaji
Watu walio katika makundi ya kijamii yanahatarika
- Watu wa asili
- Makabila madogo
- Familia ambayo haikupata elimu
Baadhi ya au watu wote wa familia ya pato dogo katika mifumo isiyo na uhakika wa kuishi
- Wakulima wadogo wa chakula cha matumizi ya nyumbani
- Vijishamba vinavyoongozwa na akinamama
- Wakula wasio la mashamba
- Wafanyakazi wa kilimo
- Wavuvi
- Wafugaji wanaohamahama
- Wachungani wasiohama, wafugaji mifugo wachache, wakulima wahamaji
- Wakaaji wa mstuni
- Waishio misituni
- Vibarua vya siku au muda
Wategemezi waishio peke au katika familia kubwa zenye pato dogo
- Watu waliokonga
- Wanawake katika umri wa kuzaa, hasa mama wajawazito na wenye kunyonyesha
- Watoto chini ya umri wa miaka mitano, hasa wachanga
- Watu wenye vilema na wagonjwa
