Lengo 1: Kutambua wajibu na uwezo wa watu binafsi ili kuchukua hatua za kupambana na njaa na ukosefu wa lishe bora na kuhakikisha uhakika wa chakula

Dhana: Sote tunaweza kutoa michango yetu ili kusaidia kumaliza njaa na ukosefu wa lishe bora kwa kila mmoja wetu, hata kwa mchango mdogo anaweza kuwa shujaa kwa mtu mwingine

Yaliyomo
Matendo



Lengo 2. Kutambua hatua mahususi tunazoweza kuchukua ili kusaidia kuimaliza njaa